Videos

Exclusive Video: Kitale akiongelea filamu mpya aliyofanya na Sharo Milionea ‘Impossible’

Kabla ya kifo chake, mwezi November mwaka jana, Sharo Milionea alikuwa ameigiza filamu na swahiba wake, Kitale iitwayo Impossible. Filamu hiyo inatarajiwa kutoka hivi karibuni. Hapa Kitale anaielezea filamu hiyo pamoja na clip exclusive za filamu hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents