Bongo5 ExclusivesBurudaniVideos

Exclusive Video: Msanii AT atoa tamko “sitapiga show na mahasim zangu”

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=sDu3nZgG-hQ[/youtube] Msanii wa Bongo Flava na muziki wa Mduara AT ametoa tamko kwenda kwa mapromota wote ambao wanataka kufanya nae kazi katika siku zijazo, akizungumza na bongo5.com msanii huyo amesema kuanzia sasa hivi hatofanya tena shoo ya pamoja na mahasim zake na ikitokea promota anataka kufanya hivyo basi ni lazima atoe mshiko mrefu.

Ingawa hakuwataja kwa majina tunahisi kwamba anawaongelea kundi la Offside Trick, ambao alitokanao Zanzibar.

Pia katika maelezo yake amewaonya mapromota ambao hawatamuharifu juu ya uwepo wa mahasim zake kuwa akigundua wapo kwenye shoo basi yeye atakachofanya ni kutotokea na hatorudisha pesa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents