Bongo Movie

Exclusive Video: Peter Msechu anaeleza sababu za kujiingiza Big Brother Africa

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=pK6wRWR_wto[/youtube] Mwanamuziki Peter Msechu amesema katika mchakato wake wa kutaka kuingia na kushiriki shindano la Big Brother Africa, watu wawili anawhofia sana akiwemo Hemed Seleman ambaye anamjua vizuri sana baada ya kukutana naye mara mbili kwenye Tusker Project Fame nchini Kenya.

Msechu anasema Hemedi ana swaga na ndiye anayemtia tumbo joto, ingawa yeye ameshiriki matamasha mengi zaidi, na ndiyo maana amejitoa ilikuomba ridhaa ya kushiriki shindano hilo linalofanyika Afrika Kusini na mshindi kuondoka na Donge nono.

Katika shindano la mwaka huu mshindi atanyakuwa dola za Kimarekani zipatazo laki tatu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents