Habari

Facebook messenger sasa kuanza kutuma ujumbe wa sauti

facebook-messenger-051212

Katika kile kinachoonekana kama kulipa mapigo ya WhatsApp, Facebook imeupdate application yake ya Messenger ya simu zinazotumia mifumo ya Android na iOS ili kusupport ujumbe wa sauti.Watumiaji wanaweza kubonyeza kitufe cha + kasha kuchagua kurekodi.

App hiyo itarekodi ujumbe wa sauti na kuutuma kwa mpokeaji.Facebook pia inafanyia majaribio kile kiitwacho Voice over Internet Protocol (VoIP) nchini Canada ili kushindana na Sype na Google Voice. Kama ikifanikiwa Facebook inatarajia kuzindua VoIP Marekani na Ulaya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents