Fahamu

Facts: Mambo 10 ambayo rafiki zako hawayajui

Kuna baadhi ya matukio tunakutana nayo kila siku na kuyachukulia ya kawaida lakini ukiyafuatilia upande wa pili kuna mambo ya kushangaza na kujifunza pia.

Leo kwa kuanza nakuletea facts ambazo ni za kawaida sana lakini si rahisi kuzifahmu pamoja na rafiki zako au kufikiri kuhusu uwepo wake.

  1. Kijiji cha Giethoorn kilichopo nchini Uholanzi hakina barabara, majengo yake yameunganishwa na mifereji ya maji.

Giethoorn

2. Chocolate inaweza kumuua mbwa kwa kuwa ina theobromine ambayo huathiri moyo na mfumo wake wa fahamu.

3. ‘I Am’ ndio sentensi fupi zaidi ambayo imekamilika katika lugha ya kingereza.

4. Filamu ya kwanza ya Marekani kuonyesha choo kikisafishwa (flushed) ni Alfred Hitchcock’s Psycho ambayo ilitoka mwaka 1960.

5. Miaka 4,000 iliyopita kulikuwa hamna mnyama yeyote anayefugwa.

6. Uvaaji wa headphones kwa muda wa saa moja kunaongeza bacteria katika masikio yako mara 700.

7. Tembo ni wanyama pekee ambaye hawezi kuruka.

8. Mtu wa kwanza kukojoa kwenye mwezini alikuwa Buzz Aldrin, muda mfupi baada ya kutua mwezini.

Buzz Aldrin

9. Katika lugha ya kingereza kuna maneno mawili tu ambayo yana irabu (a, e, i, o, u) zote tano, maneno hayo ni ‘abstemious’ na ‘facetious’.

10. Neno “Rhythm” ndio neno refu katika lugha ya kingereza lisilo na irabu hata moja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents