Fahamu historia ya Edward Sokoine, Waziri Mkuu aliyeacha alama katika uongozi wake (Video)

Tarehe 12.04.1984, Taifa la Tanzania lilimpoteza kiongozi wake shupavu, aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine, kufuatia ajali ya gari eneo la WAMI-DAKAWA Kilomita 35 nje kidogo ya mji wa Morogoro. Waziri Mkuu huyu alikuwa akitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam baada ya kufunga Kikao cha Bunge mjini Dodoma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW