Technology

Fahamu KASI Intaneti kutoka @VodacomTanzania, inayokupa nguvu ya kununua bando isiyokata

KASI Intaneti ni ufumbuzi kutoka Vodacom Plc inayokuruhusu kununua bando ya data isiyokata.

Ukiwa na intaneti isiyokata utakuwa na uwezo wa kutuma barua pepe, kufanya biashara na kufanikisha ma dili, kuangalia muvi au tamthilia kupitia streaming, na kuendelea kuwahudumia wateja wa biashara yako.

Bidhaa hii inawafaa kabisa biashara ndogo ndogo na hata biashara au ofisi zilizopo manyumbani. Sasa mnaweza kuondoa wasiwasi kuhusu uishaji wa bando na kupoteza mwunganisho na intaneti. Sasa unaweza kuendelea na kazi zako saa zote.

Unaweza kuchagua kati ya GB30, GB60 au GB100.
Unaweza kuunganisha watu hadi 25 kwenye kifurushi chako
Ikiwa ni wafanyakazi wako au wale waliyopo nyumbani kwako
Unaweza kupata router kwa bei iliyopunguzwa
Unaweza kuendelea kutumia intaneti hata baada ya bando yako kuisha. Vigezo na Masharti kuzingatiwa.

Kumbuka, KASI Intaneti ni huduma mpya kutoka Vodacom Plc inayokupa uwezo wa kununua bando zenye data isiyokata. Ukiwa na intaneti isiyokata unaweza; kutuma barua pepe, kufanya biashara, kuangalia video na kuwafurahisha wateja wako. Isitoshe hata ukitumia GB zako zote, bado unaweza kuendelea kuwa hewani. *Vigezo na Masharti kuzingatiwa*

Kujua zaidi tembelea tovuti ya Vodacom https://vodacom.co.tz/sw/kasi_internet/#

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents