Fahamu kilichompoteza Lulu kwenye mitandao ya kijamii na masharti ya kifungo chake cha nje (+video)

Watu wengi kwa sasa wanataka kujua kwanini Lulu haposti chochote kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ile hali anatumikia adhabu yake ya kifungo akiwa uraiani.

Sasa Bongo5 imempata mwanasheria kutoka D.K.M Legal Consultants, Abdallah Shaibu ambaye ameeleza masharti ya mfungwa wa nje anayopaswa kufuata ikiwemo ishu ya Lulu kutokuonekana kwenye mitandao ya kijamii na mambo ambayo hatakiwi kufanya kwa sasa.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW