Afya

Fahamu madhara yatokanayo na kufanya mapenzi kupita kiasi

Licha ya kuwa na faida katika mwili wa binadamu, ila kitendo cha kufanya mapenzi na kupitiliza uangukia kuwa tendo la ngono zembe maana kinaweza kukupelekea kutafuta watu tofauti tofauti kufanya nao.

Kuna baadhi ya watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.

Uchunguzi unaonyesha kuwa watu wengi kati ya watu wanaolalamika kupoteza hisia za kimapenzi hutoka katika kundi la watu wapenda ngono.

Wataalamu wa afya wamebaisha kuwa yapo madhara yatokanayo na kitendo cha kufanya ngono kupitiliza ambayo ni;

Kupoteza hamu ya tendo la ndoa, Kuujaza mwili tamaa kubwa na kupoteza raha kamili ya tendo, kupungukiwa na nguvu ya mwilivile vile kunauwezo wa kupata magonjwa.

1. Ukifanya mapenzi mara kwa mara kuna uwezokanao mkubwa wa kupoteza hamu ya kufanya mapenzi halii hii inawa kukusababishia kupungukiwa na nguvu madhubuti za mwili.
2. Kumekuwa na idadi kubwa ya wanaume walio na tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume, hali hii inaanzia punde unapokuwa unafanya ytendo hilo kupitiliza.
3. Baadhi ya matangazo ya Asasi za kupambana na magonjwa ya ngono wamekuw wakisisitiza utumia wa Kondom hii ni kwa sababuukifanya mapenzi kupitiliza kuna uwezokano mkuu kupata magonjwa ya ngono.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents