Mitindo

Fahamu mkoba wa kipekee unaouzwa Tsh. milioni 60 ambao unamilikiwa na Mtanzania

Yaani kwa ulimwengu wa fasheni utastaajabu mambo mengi sana ikiwemo bei za baadhi ya vitu ambavyo ukivitazama kwa jicho la mbali huwezi kudhania kuwa vinauzwa kwa bei hizo.

Related image
Hermes Birkin

Sasa kuna mkoba wa kike unaitwa Birkin ambao unatengenezwa na kampuni ya Hermes ya nchini Ufaransa ambao unatajwa kuwa ni moja ya mikoba ya kike yenye gharama zaidi duniani.

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi

Mkoba huo kwa sasa Tanzania unamilikiwa na Mjasiriamali na Mfanyabiashara, Jacqueline N. Mengi na kwa mujibu wa mtandao wa eBay mikoba hiyo bei yake ni dola $26,500 ambayo ni sawa na tsh. milioni 68 .

Sifa kubwa ya kipekee ya mikoba hiyo ni kwamba inatengenezwa kwa ngozi ya mamba na ina ubora usio na mashaka pia hata ukubwa wa Brand ya Hermes ambayo inatajwa kuwa moja ya Brand kubwa  duniani za mavazi.

Related Articles

14 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents