Afya

Fahamu njia za kutambua jinsia ya mtoto atakayezaliwa

Wanawake wengi wanapokuwa wajawazito hupenda kufahamu jinsi ya mtoto atakaye zawali kwa kwenda kufanya kipimo cha picha iitwacho Utra Sound.

Licha ya kuwa kuna wakati vipimo hivyo hushindwa kutabiri vyema jinsia ila zipo njia nyingine zitakazoweza kukusaidia kwa asilimia kadhaa kufahamu jinsi ya mtoto ajaye.

Zifuatazo ni njia ambazo zitaweza kukusaidia kubaini jinsi ya mtoto :
Uzito wa mtoto:-Baadhi yan tafiti zinaonyesha watoto wa kiume huzaliwa wakubwa na wazito sana ukilinganisha na watoto wa kike hivyo ukiona mimba yako ni kubwa sana kuliko kawaida kuna uwezekano mkubwa wa kuzaa mtoto wa kiume na mimba ndogo mara nyingi huleta watoto wa kike.

Kichefuchefu na kutapika:- Mama anayebeba mtoto wa kike hua anasumbuliwa sana na tatizo la kichefuchefu na kutapika kulilo yule anayebeba mtoto wa kiume, kitaalamu mtoto wa kike hua na homoni kama za mama akiwa bado tumboni huenda ikawa ndio chanzo cha dalili hizi.

KUMBUKA:
Tafiti hizo zinaweza zisiwe asilimia mia moja kulingana na sababu mbali mbali ila baadhi ni uhakika yaani asilimia mia moja kama ya Utra sound ambayo hutumika sana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents