Technology

Fahamu sifa za simu janja ya Tecno Camon 11, unayoweza kununua kwa kubadilisha na matoleo ya Camon yaliyopita (+video)

Kwa sasa unaweza kununua simu janja mpya ya Tecno Camon 11 kwenye maduka ya @vodacomtanzania kwa tsh 400,000/= au kwa kubadilisha na simu za matoleo yaliyopita ya Canon Series.

Ukinunua simu hii kutoka Vodacom utapewa GB 15 ndani ya miezi mitatu. Kama unaona pia mfuko wako haujakaa sawa unaweza kununua simu hii kwa kuilipia kidogo kidogo kwa miezi mitatu piga *149*96# kuwekesha.

Hapa chini kwenye video ni sifa za simu hiyo, ambayo inakuja na ukubwa wa ndani wa GB 32 na RAM 3.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents