Burudani

Faiza: Nimesha sema sugu akitaka mtoto nampa

Muigizaji wa filamu nchini Faiza Ally, ameenedelea  kusisitiza  kauli yake juu ya kutaka kumzalia Sugu.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram mrembo huyo ameendelea kuonyesha nia yake ya kutaka kumuongezea mtoto wa pili Sugu ambaye awali alizaa naye mtoto wa kwanza anayefahamika kama Sasha.

“Huyu mtoto jamani Ana baba yake kha ??? sema nimesha sema sugu akitaka mtoto nampa , na ninavyo mfyatulia kiroho safi lzm niprinitia tu ??? sio kesi simnajuaga bado nampendaaga ? @lijunior_ mwanangu huyu sasa ni baba wa 4 umepewa we kweli you born to be a star kid ?, ameandika mrembo huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents