Burudani
Fally atua Amsterdam
Mwanamuziki nyota toka DRC Fally Ipupa ambaye usiku wa leo atakamua Uholanzi ameshafika jijini Amsterdam na yupo tayari kwa makubwa katika shoo yake.
Fally Ipupa akipozi na Challa Boy (njano) mmoja wa mapromota wa onesho hilo, na wadau baada ya kutua Amsterdam.