Habari

Fally Ipupa atoa video ya wimbo mpya wenye beat ya ‘crunk’

http://www.youtube.com/watch?v=3otfeod_g9M&feature=youtu.be

Kupitia Website yake Fally Ipupa ameachia video ya single yake ya kwanza kutoka kwenye albam yake mpya. Wimbo huo uitwao Sweet Life ameuachia kama zawadi kwa mashabiki wake katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo December 14.

Katika website yake ameandika, “Exclusively for you clip the first single from the new album Fally. Enjoy.”

Cha kufurahisha kwenye ngoma hiyo ni kuwa ina beat ya ‘crunk’ kuonesha jinsi muziki wake anavyoutengeneza kisasa. Pia katikati ya wimbo huo amejaribu kuweka mistari ya hip hop.

Happy Birthday Fally Ipupa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents