Videos
Fally Ipupa Goes Pop: Tazama video ya wimbo wake mpya ‘Kitoko’ (Very Hot)
Fally Ipupa si mutu ya kuchezea kabisa. Tazama video yake mpya ya wimbo wake Kitoko aliomshirikisha rapper Youssoupha Mabiki, Mkongo anayefanyia muziki nchini Ufaransa.