Habari

Familia ya Dkt. Jakaya Kikwete yapatwa na msiba mzito

Baba mkwe wa Dkt. Jakaya Kikwete afariki dunia usiku wa kuamkia leo

Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Bi. Salma Kikwete amefiwa na baba yake mzazi mzee Rashid Mkwachu usiku wa kuamkia leo.
Mzee Kikwete na mkewe Bi. Salma Kikwete

Taarifa iliyotolewa jana Alhamisi Julai 19, 2018 na mbunge Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete kwa niaba ya familia,  imesema shughuli za mazishi zitakuwa Msasani nyumbani kwa familia ya Kikwete, huku akieleza ratiba ya mazishi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents