Burudani

Familia ya Kardashian ni kiboko

Familia ya Kardashian inatarajiwa kuongezeka zaidi na kuwa kubwa ifikapo mwaka 2018.

Kwa mujibu wa mtandao wa People, umesema Kylie Jenner na dada yake Khloe Kardashian wote kwa pamoja wanaujauzito wa miezi mitano ambapo watajifungua ifikapo February mwakani.

“Kylie is over the moon about her pregnancy. Khloé and Kylie are both due around the same time. They are approximately four months along,” chanzo kimoja kimeuambia mtandao huo.

Hata hivyo familia hiyo ya Kardashian itampokea mtoto mwingine kutoka kwa Kim na mumewe Kanye West ambao walimlipa mwanamke mmoja ili awazalie mtoto.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents