Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Fany aliyefanya cover ya wimbo ‘Madam Hero’ aomba kazi kwa Hamisa Mobetto (Video)

Msanii wa muziki, Fany ambaye siku za karibuni alifanya cover ya wimbo Madam Hero ya Hamisa Mobetto, amesema anaomba kuonana na mrembo huyo ili amwandindike wimbo ambao utazungumzia historia ya maisha yake.

 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW