Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Faraja Nyalandu aja na ‘Ndoto Hub’ kuwainua wanawake wajasiriamali (+Picha/Video)

Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Taasisi ya Shule Direct, Faraja Kotta Nyalandu amekuja na Hub mpya ijulikanayo kama ‘Ndoto Hub ‘ kwaajili ya kuwainua wanawake wajasiriamali ambapo imezinduliwa leo na kuanza na watu 10. Msikilize Faraja katika video hii hapa chini akieleza zaidi:

Katika uzinduzi huo amehudhuriwa na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mh. Ian Myles Iliyofanyika eneo la Msasani jijini Dar es Salaam katika ofisi za Shule Direct.

Tazama Picha Zaidi:


Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW