Tupo Nawe

Fashion: Kutana na nguo za ndani za wanaume ‘boxer’ zilizozua gumzo mtandaoni (Picha)

Leo katika fashion tumekutana na nguo za ndani za wanaume ‘boxer’ ambazo zimezalisha maoni mengi katika mitandao ya kijamii kutokana na muundo wake.

Baadhi ya watu ambao wameona bidhaa hiyo ya mwaka 2018 kutoka nchini China amekuwa na maoni tofauti huku wengi wakidai bidhaa hiyo imeandaliwa kwaajili ya nchi za Magharibi. Angalia kwa makini nguo hizi halafu toa maoni yako.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW