Habari

Fashion Rundown VMA 2010!

 

Ilikuwa ni usiku wa aina yake katika VMA’S za mwaka huu pale ambapo Heavyweights wa Muziki walitoka na mapigo yao aka ‘Their finest,mjini Los Angeles,California. Bongo 5 inakuletea Style Section ya Red Carpet!

Ilionekana wazi kwamba choice kubwa ya wanaume wengi katika VMA ilikuwa All Black Everything.,

Wil.I.Am alitoka na kitu cha full black,mpaka sura mtu wangu,

 

The ‘King of the New School’ kama anavyojulikana, Drizzy kutoka kundi la Young Money naye full black Tux,

Justin Beiber hapa akionekana akila pozi na kundi la Young Money,

Usher alitoka na kitu cha Scarf na kipink kwa mbaliii, Yeah Man!

Akon pia alikuwepo na Leather pants,

Jason Derulo,

Lil Jon…YYYYEEEEEAAAAHHHHHH….!

Rihanna aliamua kupiga white Cinderella.,

Gentleman Ne-Yo alikuwa tofauti na full Grey,

The biggest Female Rapper katika game kwa muda huu, Nicki Minaj aliperform na vazi la utofauti kidogo

Hapa akiwa anakula pozi akivalia Jumpsuit,

Kool Kids wa kundi la Nerd likiongozwa na Pharell Williams,

Lady Gaga na Nyama lake!

Mwimbaji Eva Marceille alitokana short dress namna hii

 

 

Ice Cube alikuwa ki ‘West Coast’ zaidi hapa anaonekana akiwa na mke wake

Mwimbaji wa Country Taylor Swift na mtoko wa Old Hollywood,

Ciara ndani ya gauni ndefu, kipeke yake,

Mr. West was in the building na kitu cha Full Red suit.

 

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents