Fat Joe na Eve – Funga Mwaka 2008

Mwanamuziki wa hip hop Fat Joe na mwanadada mwingine machachari sana katika anga za kufoka foka aitwaye Eve na mwingine wa tatu (jina kapuni) watatua jijini Dar Desemba 8 kwa ajili ya kuangusha bonge la shoo

Fat Joe na Eve
Mwanamuziki wa hip hop kotoka Unyamwezini Fat Joe na mwanadada mwingine machachari sana katika anga za kufoka foka aitwaye Eve na mwingine wa tatu (jina kapuni) watatua jijini Dar Desemba 8 kwa ajili ya kuangusha bonge la shoo.
Wadau funga mwaka huu mambo kama haya si ya kukosa kabisa, achana na suala la kuhadithiwa. ooh alifanya hivi,ooh alikuja na sijuiii niniiii aah haya maswali kama mtoto wa kijanja hupaswi kuuliza kiivyo, muhimu jichange mapema halafu tukajiachie au sio.
Sehemu ya kujiachia pamoja na kiingilio zitatajwa baadae, onyesho hili kubwa na la aina yake limeandaliwa na redio ya watu Clouds Fm.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents