Burudani

Fat Joe Sio yule ‘Fat’ tena

Rapper kutoka New york Fat Joe, aka Joey Crack ameonekana kukata kilo baada ya kuwa kibonge kwa miaka mingi mpaka kupata jina lake la Fat Joe ambalo ndilo analolitumia kisanii.

Joey Crack amesema kwamba ilifika kipindi alipata matatizo ya moyo, na kwamba ilifika muda ya kuanza kuchukulia afya yake serious, ili kuepuka madhara kama yale yaliyomfikia swahiba wake wa karibu Big Pun. Joe amesema anataka kuendelea kuihudumia familia yake pamoja na kuendeleza kazi yake ya Rap.


Sijui kama jina la Fat Joe bado litamfaa kwa sasa tena, ambaye kwa sasa amemaliza kufanya video ya wimbo wake mpya alioumshirikisha Chris Brown.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents