Michezo

FC Barcelona imekamilisha usajili wa Samuel Umtiti

Klabu ya FC Barcelona ya Hispania, imetangaza usajili wa mchezaji Samuel Umtiti kutoka klabu ya Olympique Lyonnais, Barcelona wametangaza kupitia tovuti yao.

36320D0D00000578-0-image-a-23_1468327907876

362602C800000578-0-image-m-24_1468327921833

Samuel Umtiti amesajiliwa kwa mkataba wa miaka mitano, kwa dau la uhamisho wa euro milioni 20, Umtiti ambaye anachezea timu ya taifa ya France alifanya vizuri katika mashindano ya Euro 2016 atakuwa akicheza nafasi ya beki wa kushoto au beki wa kati.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents