Aisee DSTV!

Fella baada ya kuumwa ghafla: Atoa msaada kwa watu 400 kupima afya na matibabu bure Kilungule (Video)

Meneja wa WCB na Mkubwa na Wanae, Mkubwa Fella ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kilungule,  Jumamosi hii pamoja na Jumapili anaendesha zoezi la kupima afya bure kwa wakazi wa maneo hayo. Fella amedai baada ya yeye kuugua ghafla aliona kuna umuhimu wa kupima afya kabla matatizo hayajatokea ndipo alipoamua kuanzisha zoezi hilo kwaajili ya wananchi wake.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW