Burudani

Ferooz alivyomtesa Adam

Feroozi_face_hii
Mwanamuziki Feroozi akiwa pande za Temeke na Adam Juma katika kukamilisha video ya wimbo wake wa Mnanda, ambayo aliifanyia pande za Temeke aliweza kuvuta watu wengi kiasi cha mtengenezaji huyo wa video kuwa na wakati mgumu.. endelea kupata picha uone umati ulivyobana.

ferooozi_madencer

Kundi la akina dada waliokuwa wakizisumbua  vyonga zao pale kati, kwaajili ya kuleta radha…

Ferooze_Video_fella

Hapa walikuwa wakijadiliana kidogo, akiwa Mkubwa Fella na Meneja wa Mkubwa na Wanawe Yusuph na Adam Juma.

feroozi_adam
Ilibidi muda mwingine Adam apande juu ya viti kupata picha nzuri, lakini bila hivyo ingekuwa balaa
Feroozi_kucheza

Wengine walijisahau kabisa kama wapo kwenye Shooting, wakajikuta wakimwaga radhi..
feroozi_mwali
Mwali…mwali.. hao wakawa wanakuja, wengine wakija na ndoo za maji ilimradi shangwe na  nderemo….ilikuwa balaa tupu

Feroozi_Temba

Hapo sasa..Twende sasa…

Feroozi_ngongoti

Hapa sijui Muogo alikuwa akiwaza nini juu ya huyu Ngongoti, wakati Masawe akikoleza ngoma huku watishaji wakiwa pembeni na vinyago vyao… Big Up Adam kwa kujituma… Big Up mkubwa Fella kwa kuandaa michakato yote ya kuvutia…Big Up Feroozi kwa kutoa ngoma kama hiyo iliyochezeka hivyo.. Mwisho tunategemea Video kali itakayoendeleza muziki wetu wa Tanzania husasni Mnanda uliosahalika….

THE END

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents