Burudani

Ferooz kulibadilikia gemu

Video_feroooz
Kukua kwa sanaa ya muziki hapa nchini ndivyo kuibuka vipaji vipya na kukuwa kwa vipaji vya muzikin wa kale.Hata kama msanii mwanzo alikuwa akifanya muziki kama masihara kwa lengo yeye anajua  muda huu itabidi achague moja kuachana na muziki au kukaza ilikuendelea kuwepo. Hapo ndipo linapokuja neno ‘CREATER’ usipokuwa mvumbuzi utaambulia patupu.

 

 

Big Up kwa mwanamuziki  Ferooz, ambaye hivi karibuni nimesikiliza Song lake na kugundua kweli jamaa ni mbunifu na mwanamuziki wa kweli. Ameimba katika stili ya mnanda akiwa na mwanamuziki toka ThT Shaz B, wimbo unaitwa Ndege Mtini.

Ferooz aliweza kujipanga na hatmaye akatoka na kitu hicho, ambacho anasema wimbo huo anasubiri kwanza video na ndiyo aichie Audio, nasi tunakuahidi fuatilia ‘tukupe kila kitu kutoka kwenye wimbo huo.

ferooz

Picha mpya za Ferooz

Ferooz_pozi

feroozii

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents