DStv Inogilee!

Ferooz kunogesha pambano la Francis Cheka uwanja wa Kines (+video)

Msanii wa muziki Bongo, Ferooz ameahidi kutoa burudani kwenye pambano la ngumi kati ya bondia, Francis Cheka dhidi ya Jacob Maganga litakalo pigwa tarehe 16 ya mwezi huu kwenye uwanja wa Kines uliyopo Manzese.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW