DStv Inogilee!

Ferooz kutambulisha audio na video ya mchiruku

Feroozi_video_face
Mwanamuziki aliyekuwa akisubiriliwa na watu wengi, hasa kutokana na umahili wake  wa kuimba Ferooz Mrisho ‘Feroozi’ ameshakamlisha video ya wimbo wake wa mchiruku unaokwenda kwa Kama Japenga. Wimbo huo kwa upande wa audio ndiyo


kwanza anaanza kuusambaza, na video inakuja katika siku chache zijazo. endelea kufuatilia Bongo5, uwe wa kwanza kuuona wimbo huo kwenye Video kama vile ulivyokuwa wa kwanza kuusikia kwenye audio ya Bongo5.

Feroozi – Kama japenga

{mmp3}ferooz-kamajapenga.mp3{/mmp3}

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW