Burudani ya Michezo Live

Ferouz afunguka A-Z kuhusu maisha yake, azungumzia kuhusu wasanii wa zamani kuonekana wanajipendekeza kwa Diamond (+Video)

Ferouz afunguka A-Z kuhusu maisha yake, azungumzia kuhusu wasanii wa zamani kuonekana wanajipendekeza kwa Diamond (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na akiwa miongoni mwa wachezaji walioiweka Bongo Fleva kwenye ramani Ferouz amerudi kivingine kwa kuachia Audio ya wimbo wake wa Excellent aliyomshirikisha G Nako, ngoma hiyo imefanywa na Producer Mocco Genius.

Mbali na kutoa wimbo huo lakini pia amezungumzia kuhusu maisha yake ya sasa na ya zamani hasa kuhusiana na muziki wetu wa Bongo Fleva, akipiga stori na bongo5 Ferouz amezungumzia pia jinsi walivyounda kundi lao ambalo lilikuwa linaitwa Daz Nundaz. Ferouz pia amezungumzia kuhusu wasanii wa zamani kuonekana kujipendekeza kwa Diamond Pltnumz:

Msikilize Ferouz:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW