Burudani
Feza apanga kutumbuiza leo kwenye Oneza’s Gala Dinner , Gaborone, Botswana
Oneza aka Feza Kessy na O’neal leo wameandaliwa party ya nguvu jijini Gaborone nchini Botswana iliyopewa jina, Oneza: O’neal Appreciation Gala Dinner.
Party hiyo itafanyika kwenye hoteli ya kifahari ya Grand Palm jijini humo. Jana Feza alitweet kuonesha nia ya kutumbuiza kwenye sherehe hiyo.
“I might just perform on Thursday night! why not,” aliandika.