Burudani

FID Q aeleza mazito aliyoambiwa kuhusu marehemu Pancho Latino ‘alikataa mwili wake kuagwa Leaders’ (+video)

Rapper FID Q ambaye ni mwanakamati wa mazishi ya marehemu Pancho Latino, amefunguka mambo mazito ambayo ameambiwa na ndugu wa marehemu pamoja na Pancho Latino kabla ya umauti kumkuta siku ya jana.

FId Q amesema kuwa ndugu wa marehemu wamemwambia Pancho alikataa katu katu mwili wake kuagwa katika viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents