Burudani
Fid Q amuenzi Bi.Kidude kwa kushare wimbo aliomshirikisha ‘Juhudi Za Wasiojiweza’
Fareed Kubanda ana mengi ya kumzungumzia Bi. Kidude. Amewahi kumtaja mara kibao kwenye nyimbo zake na pia anamchukulia kama best artist of all time. Katika kumuenzi Bi. Kidude Ngosha ameshare wimbo aliomshirikisha, Juhudi Za Wasiojiweza.
[soundcloud url=”http://api.soundcloud.com/tracks/88266794″ params=”” width=” 100%” height=”166″ iframe=”true” /]