Burudani

Fid Q ashambuliwa mtandaoni, mashabiki wahusisha Wasafi Festival Vs Tigo Fiesta

Msanii wa muziki wa hip hop, Fareed Kubanda aka Fid Q amejikuta akishambuliwa mtandaoni na mashabiki wanaodaiwa kuwa wa Diamond huku kisa kikidaiwa kuwa ni Wasafi Festival Vs Tigo Fiesta.

Hatua hiyo imekuja baada ya rapa huyo kutoa maneno yaliyotafsiriwa ni dogo kwa WCB kupitia video ya promo ya Tigo Fiesta iliyoandaliwa na kituo cha redio cha Clouds Media.

“Kupitia video hiyo, Fid alisikika “Yani nyinyi mnataka kusubiri watu wafanye halafu na nyie mfanye, kawambie acheni upumbavu ni moja kubwa,”

https://www.instagram.com/p/BqX8LK-gjNE/

Kauli hiyo ilitafsiriwa kwamba ni dongo kwa Wasafi Festival hali ambayo iliwafanya mameneja wa WCB kutoa maneno ya mafumbo kuhusiana na tukio hilo.

https://www.instagram.com/p/BqXXH0llatu/

Baada ya kauli hizo mtandao wa Bongo5 ulimtafuta rapa huyo na kusema kwamba Jumanne hii atatoa kauli kuhusiana na hicho kinachoendelea.


Washabili wamshambulia Fid Q.

pizzo_wida

@therealfidq alichoongea hapo nitaarbu tuveshe dila sasa maana msanii kama uyo mkubwa afu ana tukana show ya wenzake wakat yeye mwenyewe Ana ata uwezo wa kuandaa show yake Ana miaka ming kwenye game na hao hao @cloudsfmtz ndi walikua wana cmamia mziki wake lakn ata kibajaji cha kutembelea Ana afu Ana tukana hip hop gan wewe una pitwa mpaka na wasanii wa singer mzik ulio ibuka ata miaka kumi auja fika matoga kwer uyu jamaa hapa kasha poteza maadh ya mashabik kwa kudhaminiwa kwenye show hii tu mnajiona mnapeendwa subir iishe sasa afu tuone kama ni kubwa au ndogo

mbishigodlisten
Fid nilikua nakupa mavyeo sasa nakuvua umeshakua choko la clouse!!!

elibarikifoya
Wasanii nyie ndo mnalalamikaga kwamba mnanyonywa kwhy huu ndo wakat wenu wakupga pesa na sio kuegemea upande mmoja kwhy achen ushabiki wakijinga, pigen pesa kote achen ujinga. @richmavoko @whozu_ @rosa_ree @dogojanjatz @luludivatz.

sheby_da_silva
Kweli mkubwa mkubwa tu, na hili neno mmelitoa kamusi gani? Kweli ni #moja_ kubwa💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻

oncerichalwaysrich

Ebu @therealfidq wakupe castle lite ya bariiiiidi nalipa sasahivi kwa tigopesa, mxium eti mapinduzi ya mziki yanafanyika kwenye korosho? Mxium wangefanya HAPA HAPA dar mamae, JAY Z, 50 CENT, LIL KIM, RICK ROSS T.I …… WOTE WALIFANYA MAPINDUZI YA MUZIKI HAPA HAPA DAR LEO UMPELEKE NANI KWENYE KOROSHO? MAMAE WANGEFANYA HATA MWEMBE YANGA WAONE MOTO WA CLOUDS MXIUM

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents