DStv Inogilee!

Fid Q ataja faida za kutenganisha Bongo Hip Hop na Bongo Fleva kama genre mbili tofauti

Mjadala wa matumizi ya jina la Bongo fleva kutumika kama utambulisho wa muziki (kila aina) unaofanywa Tanzania limekuwepo kwa miaka mingi, japo kuwa hadi leo kuna baadhi ya wasanii wa Hip Hop ambao hawapendi kujumuishwa kama wasanii wa Bongo fleva.

Fid

Mmoja wao ni rapper Fareed “Fid Q” Kubanda, ambaye amesema kuna faida endapo Bongo fleva na Bongo Hip Hop zikitambuliwa kama genre mbili tofauti.

“Faida ya kutenganisha Bongo Hip Hop na Bongo Fleva itasaidia pia wadau kuona kuna genre moja inapewa support nyingi, itasaidia pia wadau kutofautisha kwamba kumbe mnapokuwa mnachangia sio wote wanakuwa wanahusika. Uwepo tu mfuko wa Bongo flevah na Bongo Hip Hop kwasababu hivi ni vitu viwili tofauti”. Alisema Fid Q kupitia 255 ya XXL.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW