Burudani
Fid Q PROPAGANDA
Albamu ya Fid Q yenye jina la Propaganda iko mitaani, na kwa sasa inapatikana katika mtandao, jinyakulie nakala yako kwa kubofya hapa.
Ina nyimbo 16, zikiwemo:
* Ripoti za Mtaani ft Zahiri …
* Shimo Limetema ft Ay & Ncha…
* Nilipotoka ft Hard Mad
* Usinikubali Haraka ft Matonya
* PROPAGANDA
* Fid Q – Mwanamalundi