Michezo

FIFA yataja wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kombe la dunia 2014 ‘World Cup Golden Ball Award’, Neymar na Messi waingia

Nyota wa Argentina Lionel Messi na nyota wa Brazil, Neymar ni miongoni mwa wachezaji 10 bora katika michuano ya mwaka huu, waliotajwa kuwania nafasi ya kuwa mchezaji bora wa Kombe la dunia 2014.

messi n Neymar
FIFA jana jioni (July 11) imetoa orodha ya majina ya wachezaji 10 waliotajwa kuwania tuzo hiyo.

Wachezaji wengine 7 kwenye orodha hiyo wanatokea kwenye timu zilizofanikiwa kuingia fainali Ujerumani na Argentina. Mshindi kutangazwa Jumapili hii baada ya mechi ya fainali huko Brazil.

Orodha kamili:
– Angel Di Maria (Argentina)
– Mats Hummels (Germany)
– Toni Kroos (Germany)
– Philipp Lahm (Germany)
– Javier Mascherano (Argentina)
– Lionel Messi (Argentina)
– Thomas Muller (Germany)
– Neymar (Brazil)
– Arjen Robben (Netherlands)
– James Rodriguez (Colombia)

Haya ni majina ya washindi wa tuzo hiyo katika mashindano ya Kombe la FIFA la dunia miaka iliyopita:

1982 FIFA World Cup Spain: Paolo Rossi (Italy)
1986 FIFA World Cup Mexico: Diego Maradona (Argentina)
1990 FIFA World Cup Italy: Salvatore Schillaci (Italy)
1994 FIFA World Cup USA: Romario (Brazil)
1998 FIFA World Cup France: Ronaldo (Brazil)
2002 FIFA World Cup Korea/Japan: Oliver Kahn (Germany)
2006 FIFA World Cup Germany: Zinedine Zidane (France)
2010 FIFA World Cup South Africa: Diego Forlan (Uruguay)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents