Michezo

FIFA yatoa orodha ya wachezaji 23 wanaowania Ballon d’Or 2014.

Shirikisho la soka duniani FIFA limetangaza majina ya wachezaji 23 wanaowania tuzo ya FIFA ya Ballon d’Or mwaka 2014.

bale2

Wachezaji sita wa Ujerumani waliocheza Kombe la dunia wametajwa, na kufanya iwe nchi yenye wawakilishi wengi kwenye orodha hiyo. Wachezaji hao wa Ujerumani ni Philipp Lahm, Mario Gotze, Toni Kroos, Thomas Muller, Manuel Neuer na Bastian Schweinsteiger.

Cristiano Ronaldo anayeshikilia tuzo hiyo na mshindi mara nne Lionel Messi wapo tena katika mchakato huo

ORODHA YA WACHEZAJI 23 WANAOWANIA BALLON d’Or

Gareth Bale (Wales), Karim Benzema (France), Diego Costa (Spain), Thibaut Courtois (Belgium), Cristiano Ronaldo (Portugal), Angel Di Maria (Argentina), Mario Gotze (Germany), Eden Hazard (Belgium), Zlatan Ibrahimovic (Sweden), Andres Iniesta (Spain), Toni Kroos (Germany), Philipp Lahm (Germany), Javier Mascherano (Argentina), Lionel Messi (Argentina), Thomas Muller (Germany), Manuel Neuer (Germany), Neymar (Brazil), Paul Pogba (France), Sergio Ramos (Spain), Arjen Robben (Holland, James Rodriguez (Colombia), Bastian Schweinsteiger (Germany), Yaya Toure (Ivory Coast).

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents