Uncategorized

FIFA yatuma orodha ya waamuzi wa Tanzania watakaochezesha kimataifa

Shirikishola Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limetuma orodha ya Waamuzi wa Tanzania watakaochezesha mechi za kimataifa wakiwa na beji ya FIFA.

Muonekano wa jengo la Makao Makuu ya Shirikisho la soka Duniani FIFA nyakati za usiku

Katika orodha hiyo wapo waamuzi wa katikati na Waamuzi wasaidizi wa Kiume na wa Kike.

Aidha wapo pia waamuzi watakaochezesha soka la Ufukweni.

Waamuzi wa katikati Wanaume
1 NASSORO Mfaume Ali
2 SASII Hery Ally
3 MWANDEMBWA Emmanuel Alphonce
4 SAANYA Martin Elifhas

Waamuzi Wasaidizi

1 CHACHA Ferdinand
2 KINDULI Mgaza Ally
3 LILA Soud Iddi
4 KOMBA Frank John
5 MKONO Mohamed Salim
6 HAULE Mbaraka Haule

Waamuzi wa Soka la Ufukweni

1 MSILOMBO Jackson Steven
2 MWAMBONEKO Geofrey Tumaini

Waamuzi wa katikati Wanawake

1 KABAKAMA Jonesia Rukyaa
2 CHIEF Florentina Zabron

Waamuzi wasaidizi Wanawake

1 MDUMA Hellen Joseph
2 WAMALA Grace
3 BALAMA Janet Charles
4 MTWANA Dalila Jafari

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents