Bongo Movie

Filamu ya Chumo yazinduliwa

chumo_mnandaFilamu ya Chumo juzi imezinduliwa katika viwanja vya Biafra, kwas mtindo wa kipekee hasa kutoka na sehemu kubwa wa washiriki wake kutoonekana katika  tamasha la uzinduzi wake.

 

Lakini mambo mengine yote yalienda sawa, ingawa mapungufu mengi yalijitokeza, jambo lililo onyesha wazi kwamba waandaaji wa tamasha hilo walikuwa hawajajipanga kikamilifu.

Kwa upande wa mwitikio wa watu umekuwa mkubwa, na kwa upande wa filamu ni mzuri ya kulidhisha, na imeonyesha ni jinsi gani watanzania tulivyosonga mbele, kwa hatua kadhaa. Wanasema filamu hiyo kwa sasa ipo madukani, hasa hasa inatoa elimu kubwa juu ya wakina mama wajawazito, kujikinga na ugonjwa wa Maraliab ilikupunguza vifo.
chumo_mashabiki
Mashabiki wakiangalia filamu ya Chumo.
chumo_polisi
Polisi wakiimalisha ulinzi
chumo_wadau

chumo_mzee_makatu
Miongoni mwa washariki mzee Makatu, akiwa na mpiga picha.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents