Awards
Filamu ya JULIANA kutoka Tanzania yashinda tuzo Hollywood, Marekani (+video)
Filamu ya Juliana kutoka Tanzania inayoelezea namna jinsi ugonjwa wa ukimwi ulivyokuja Tanzania kutoka Uganda, imeshinda tuzo ya Hollywood Prestigious African Awards 2018 nchini Marekani.