Bongo Movie

Filamu ya Respect Nyerere ndani ya Butiama

Yule nguli wa kubadili sauti Stive Nyerere amesema kwa sasa tayari amesharudi kutoka Butiama na kwa sasa anaendelea na filamu yake ya Respect Nyerere katika jiji la Dar es salaam husussani sehemu zile ambazo mwalimu alifanyia mikutano yake wakati akiwa hapa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents