Burudani

Flaviana Matata ashiriki kwenye tangazo la kampeni ya kampuni ya vipodozi ya Italia

Tanzania hatufanyi vizuri kwenye michezo ya kimataifa, lakini kwenye fani ya urembo na muziki nasi tunaweza kusimama katikati ya mataifa mengine.

11117096_1417817521866455_653807071_n

Kwenye urembo tuna wasichana wa Kitanzania wanaofanya vizuri sana kimataifa wakiwemo Tausi Likokola, Herieth Paul, Miriam Odemba na Flaviana Matata.

Miss Universe Tanzania wa zamani, Flaviana Matata ameendelea kuiepeperusha bendera yetu kwa mashavu kibao ya brands kubwa za urembo duniani.

Mchongo wa hivi karibuni alioupata ni ule wa kushiriki kwenye matangazo ya kampeni ya kampuni maarufu duniani ya vipodozi ya nchini Italia, Kiko Cosmetics.

Kampeni hiyo inaitwa Modern Tribes ambapo Flavy ameungana na masupermodel wengine wa Wilhelmina Models.

ABOUT KIKO MILANO

Since 1997, kikocosmetics is the online website of the leading Italian professional cosmetics brand that features a range of cutting-edge makeup, beauty products, face and body treatments. Safe and effective products of the highest quality, created to satisfy the beauty requirements of women of any age. Shopping in our online store is easy, convenient and secure. Explore the largest and most diverse selection of beauty products, makeup, cosmetics, skincare and more. KIKO ship its wide and diversified products to Albania, Austria, Belgium, Bulgaria, Croatia, Cyprus, Czech Republic, Denmark, Estonia, Finland, France, Germany, Greece, Hungary, Ireland, Italy, Latvia, Lithuania, Luxembourg, Macedonia, Malta, Netherlands, Norway, Poland, Portugal, Romania, Serbia, Slovakia, Slovenia, Spain, Sweden, Switzerland and United Kingdom.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents