Mitindo

Flaviana Matata azindua product yake ya pedi , asilimia 10 kusaidia wanafunzi kupata pedi bure (+Video)

Mwanamitindo @flavianamatata siku ya leo ameweza kuzindua PADS ambazo zitakuwa na msaada mkubwa kwa akina Mama na watoto wa kike. Product hiyo mpya inaitwa LAVY SANITARY PADS wakitumia kauli mbiu ya “SIKU ZAKO NI SIKU ZETU”

Lengo la kuzindua Product hiyo hasa itakuwa msaada kwa wanafunzi ambao wanakosa masomo kwa sababu ya tatizo la kuwa kwenye siku zake na pia asilimia ameongeza asilimia 10 ya mapato yatakayotokana na mauzo ya PADS hizi zitakuwa zinaenda mashuleni kusaidia watoto wa kike wanaootoka kwenye mazingira magumu ili waweze kupata Pedi bure.

@flavianamatata ameeleza zaidi dhumuni lake na kuleeza kuwa itakuwa na msaada sana kwa mwanamke kwani inamfanya ajisikia na amani na awe huru kuwa sehemu yeyote ile.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents