Burudani

Flaviana Matata Kutoa Msaada Kumbukumbu ya MV Bukoba


Mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata amekuja nchini akitokea Marekani, ambako ndiko yaliko makazi yake kwa sasa, mahsusi kwa ya ajili ya kugawa msaada wa VIFAA VYA KUOKOLEA MAISHA MAJINI (life vest) ikiwa ni miaka 16 tangu meli ya MV BUKOBA izame ambapo mama yake mzazi alifariki kwenye ajali hiyo.

Anatarajia kugawa msaada wa vifaa hivyo leo, Jumatatu ya 21 May jijini Mwanza.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents