Burudani

Flaviana Matata kwenye jarida la Schön! La Uingereza

Miss Universe wa zamani Flaviana Matata hivi karibuni akiwa na warembo wengine , Stella Vaudran na Tiara Young walishirikishwa kwenye jarida maarufu la fashion la Schön!

Jarida hilo lina makao yake makuu nchini Uingereza na hutoka kila mwezi na lilianzishwa June 2009.

Hizi ni miongoni mwa picha za Flaviana Matata akiwa na walimbwende wenzie.

Flaviana Matata, Stella Vaudran na Tiara Young wakiwa kama “The Divas” wakiwa wamevaa mitindo ya miaka ya 60′s na 70′s

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents