Mahojiano

Flaviana Matata “Tukubali tukatae Diamond muziki wake unasikilizwa sana Marekani wengine ni Alikiba na Vanessa mdee” – Video

Flaviana Matata "Tukubali tukatae Diamond muziki wake unasikilizwa sana Marekani wengine ni Alikiba na Vanessa mdee" - Video

Mwanamitindo wa kimataifa kutoka Tanzania, Flaviana Matata amefunguka na kuweka wazi kuhusu ukuaji wa muziki wa Bongo Fleva.

Akiongea na Bongo 5 Flaviana amesema kuwa kwa sasa muziki wetu unakua sana na hasa katika taifa kubwa kama Marekani na alipolizwa je ni wasanii gani wanafanya vizuri alisema “Tukubali tukatae Diamond ameweza kupenyeza sana muziki wake Kimataifa kwani muziki wake unasikilizwa sana hata ukiuliza watu wanamfahamu, mbali na diamond” pia amesema “wasanii wengine ambao wanasikilizwa ni pamoja na Alikiba na Vanessa Mdee nikitaka kuwa mkweli hawa watu watatu wanasilikizwa sana Marekani”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents