Michezo

Floyd Mayweather atumia $3,498,000 kununua Bugatti Veyron Grand Sport

Floyd Mayweather ameendelea kutumia vizuri pesa zake kwenye vitu anavyovipenda zaidi ni magari.

2DD19CD500000578-0-image-a-2_1445909853414

Hivi karibuni ametumia kiasi cha $3,498,000 kununua gari jipya aina ya Bugatti Veyron Grand Sport. Kama kawaida yake alipost picha ya gari hilo kwenye akaunti yake ya Instagram.

Floyd mwenye utajiri wa zaidi ya dola milioni 400, bado anaishi maisha ya hali ya juu kwa kutumia pesa nyingi kwa kiasi kikubwa. Kati ya style zake za kutumia pesa ni kusafiri bila mzigo wowote zaidi ya begi la pesa kwenye ndege yake binafsi.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents