Michezo

Floyd Mayweather asisitiza Andre Berto ni bondia wa mwisho kupigana naye

Bondia Floyd Mayweather amesisitiza kwa mara nyingine kuwa Andre Berto ndiye bondia wa mwisho kupigana naye katika pambano lao la Jumamosi.

2C0DD2B000000578-0-Floyd_Mayweather_has_uploaded_this_photo_with_words_only_OFFICIA-a-14_1441694680665

Mayweather amesema watu wengi wanafikiri tofauti kwamba atapigana tena. Pambano hilo la 49 ndilo litakuwa la mwisho kwake na anataka kushinda kubaki na rekodi yake ya kutopigwa daima katika ngumi za kulipwa.

2BC25E3B00000578-3225521-image-a-34_1441660961708
Andre Berto

Pambano hilo litafanyika Jumamosi katika Ukumbi wa MGM Grand Garden jijini Las Vegas, Marekani na tayari tiketi zimeanza kuuzwa na zinakaribia kuisha.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents